WAZIRI SIMBA NDANI YA NYASA
Waziri Sophia Simba (mwenye vazi la kijani na njano katikati) alipokuwa ziarani wilayani Nyasa. Hapo alikutana na wanafunzi wa shule ya msingi Kihagala, iliyopo Kihagala. Ziara hiyo ilikuwa moja ya...
View ArticleDk. Leader Stirling: Mzungu wa kwanza kuwa waziri wa afya Tanzania
Na Markus Mpangala, Dar es salaamMiongoni mwa majina ambayo yalijitokeza katika baraza la mawaziri lililokuwa linaoongozwa na hayati Mwalimu Nyerere ni Leader Dominic Stirling mwenye asili ya Uskochi...
View ArticleKUMBUKUMBU NI JAMBO ZURI
Bosi wa New Habari(2006) Limited, akiwaongoza waandishi wake katika kuuza gazeti la MTANZANIA mara baada ya kumaliza kifungo cha miezi mitatu. Gazeti hilo lilifungiwa kwa madai ya uchochezi. Ni...
View ArticleWILAYA YA NYASA YABEBA MAJUKUMU YAKE
Mwandishi Wetu, Mamba BayBAADA ya kutegemea shughuli zake kufanyika wilayani Mbinga, hatimaye sasa wilaya ya Nyasa imeanza kushughulikia majukumu yake. Miongoni mwa majukumu hayo ni utumishi, ardhi, na...
View ArticleUGAWAJI VIWANJA ZAIDI YA 200 KILOSA KWA WAFANYAKAZI WILAYANI NYASA
Na Vitus Matembo, KilosaHalimshauri ya wilaya imeendelea na mchakato wake wa kuuza baadhi ya maeneo kwa wananchi ambao watakuwa tayari kuyanunua. Uuzaji huo umelenga kuyaweka maeneo ya wilaya katika...
View ArticleHABARI NJEMA KWA WADAU WA ELIMU NYASA
Kanisa la Anglicana kupitia wafadhili wao toka Marekani kwa mpango wa Shirika la Huduma ya jamii na maendeleo ya vijana Tanzania (SHIHUJAVIMA PROJECT) hapa Mbamba bay. Tayari limeanzisha shule ya...
View ArticleSHULE YA MSINGI LUNDU
Mwalimu Mkuu: Veronica Bakari1. Shule inahitaji ukarabati wa darasa moja ambalo limeezuliwa na upepo.Wanahitaji Atlasi –Tanzania pc 3- Afrika Mashariki pc 3- Afrika pc 3- Ulimwengu pc 32. Chalki...
View ArticleHOSPITALI LUNDU YAKOSA WAFANYAKAZI
Zahanati ya Mtakatifu Raphael inavitanda 40 za kulaza wagonjwa lakini hailazi wagonjwa kwa sababu imekosa wataalamu wa kutoa huduma hiyo Zahanati hiyo ina mfanyakazi mmoja tu aliyeajiriwa...
View ArticleTANGAZO MUHIMU
TANGAZO TOKA KWA MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA NYASAKwa wale wote waliomaliza kidato cha sita kwa masomo ya sayansi na hesabu. Nendeni mkajiandikishe kwa mkurugenzi ili majina yatumwe wizarani ili...
View ArticleKILICHOJIRI MKUTANONI LEO NA MBUNGE JOHN KOMBA
Na Vitus Matembo, Mbamba BayMkandarasi ametambulishwa Rasmi toka Sri Lanka anaitwa MR.DIISA. Kazi inaanza kesho ya upimaji. KITUO Kikuu cha upokeaji umeme kiko KILOSA ila utaanza kupatikana hapa MBAMBA...
View ArticleWATALII WAKIJIPUMZIKA KATIKA FUKWE ZA LIULI, NYASA
Watalii wakiwa wamepumzika katika fukwe za mji wa Liuli uliopo wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma. Fukwe za ziwa Nyasa zinapendwa na watu mbalimbali.
View Article'BAY LIVE SOCIAL HALL' NA MASWALI KIBAO KWA WANYASA
Na Vitus Matembo, Mbamba Bay Huu ni mwanzo tu wa hatua kufikia kilele. Ndugu yetu Madenge Chindogo kaanza hivi. Je wengine tunasubiri nini, mnawekeza tu mijini eeh!. Pengezo nyingi sana ndugu yetu...
View ArticleNANI RAIA HALALI?
Na James Zotto, UNIVERSITY OF DAR ES SALAAMLabda mimi pia niwape habari kama hii ya Mh. Msando Alberto: Kule kwetu Nyasa, kijiji na kata ya Liuli, kulitokea mzee mmoja anaitwa John John Mpembo...
View ArticleSAMAKI NYASA, UHONDO ZAIDI KILA SIKU
Kwa wakazi wa wilaya ya Nyasa wanafurahia zaidi samaki wanaotokana na ziwa Nyasa. Pichani ni kambale aliyekatwa katwa tayari kuandaliwa kama kitoweo.
View ArticleNGUZO ZA UMEME ZAPELEKWA NYASA
Na Egbart Jeremy,Mbamba Bay Hatimaye shehena ya kwanza ya Nguzo za Umeme iliwasilishwa Juni 20 mjini Mbambabay ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa kusambaza umeme vijijini pamoja na wilaya Nyasa ambayo...
View ArticleOFISI ZA HALMASHAURI YA WILAYA YA NYASA ZIMEHAMIA KILOSA JENGO LA KILIMO
Na Vitus Matembo, Mbamba Bay Ofisi za Halmashauri ya Nyasa zilizokuwa zimewekwa katika Lodge ya Mzee mmoja hapa Tambachi mjini Mbamba bay zimehama kwa lazima na kwenda katika Jengo la Kilimo katika mji...
View ArticleUHONDO WA ZIWA NYASA, WAKAZI HUTEGEMEA MAJI YAKE KWA MENGI
Watu akiwa katika matukio tofauti ya kutumia maji ya ziwa Nyasa.
View ArticleMRADI WA KUFUGA KUKU WA KIENYEJI
Na Vitus Matembo, Mbamba Bay Wilaya Nyasa imeendelea kushuhudia mipango ya maendeleo baada ya asasi ya kiraia iitwayo Tanzania Agricultural & Livestock Promotion Association (TALIPA) kupewa kibali...
View Article