$ 0 0 Bosi wa New Habari(2006) Limited, akiwaongoza waandishi wake katika kuuza gazeti la MTANZANIA mara baada ya kumaliza kifungo cha miezi mitatu. Gazeti hilo lilifungiwa kwa madai ya uchochezi. Ni kumbukumbu tu.