$ 0 0 Watalii wakiwa wamepumzika katika fukwe za mji wa Liuli uliopo wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma. Fukwe za ziwa Nyasa zinapendwa na watu mbalimbali.