SEKTA BINAFSI KWA MAENDELEO YA UCHUMI WA AFRIKA YA MASHARIKI
AJENDA: Afrika ya Mashariki.WENYEJI; UgandaWAHUSIKA: Ndugu Rais Yoweri Museveni, ndugu Rais John Magufuli na ndugu Rais Uhuru KenyattaMADA: Sekta binafsi kwa maendeleo ya nchi za Afrika...
View ArticleRAIS ATOA VIFAA TIBA MANISPAA YA SONGEA
NA MWANDISHI WETU, SONGEAÂ RAIS wa Tanzania Dk.John Magufuli ametoa msaada wa vifaa tiba vyenye thamani ya zaidi ya milioni 18 kwa ajili ya zahanati za Halmashauri ya Manispaa ya Songea lengo likiwa ni...
View ArticleHEKIMA ZA BIBI KIJIJINI
NA JOHN Â CHITANYAÂ MJUKUU wangu Irene;WACHAFU wengi wanatabia ya kuvaa nguo safi."Ngono haiwezi kumfanya mwanaume asimuache mwanamke, Hata kama huyo mwanamke awe fundi vipi!UZURI wa mwanamke unaweza...
View ArticleMBOGA 7
Ukiwa mji kama wa Dar es salaam utasikia stori nyingi za Mboga 7. Au ukiwa maeneo ya mijini hii stori ya mboga 7 imezoeleka sana kusimuliwa. Lengo ni kuelezea familia yenye uwezo wa kuandaa mlo mmoja...
View ArticleKAMBALE SAMAKI WA AJABU KULIKO SAMAKI WOTE DUNIANI
NA JACOB MALIHOJA NIMEFUATILIA kwa kina samaki wa aina tofauti wa ajabu kama vile Electrical El (Mwenye uwezo wa kuzalisha umeme hadi Volts 900 yaani mara nne ya umeme tunaoutumia majumbani), Ngisi...
View ArticleWAMACHINGA WA KIZUNGU NDANI YA MJI WA MOROGORO
Nimewanasa mwenyeeeeewee kwa kamera yangu. Msamvu Morogoro,wanauzia bidhaa abiria Wa kwenye magari. Jana nilimnasa mmoja katika mgahawa uliopo maeneo Stand ya daladala ya mjini kati moro nami nikawa...
View ArticleZAWADI YA VITABU KWA MARA NYINGINE
JUMAMOSI Februari 24 mwaka huu nilipatiwa zawadi ya vita viwili kutoka kwa Bwana Ragin Mmbaga, kama vinavyoonekana pichani. Vitabu hivyo vimeandikwa na Bwana Johne Wisse. Kuna kitabu cha TONE LA DAMU...
View ArticleRIWAYA: SAA 72
Ijumaa iliyopita ndugu Japhet Nyang’oro Sudi aliwasiliana nami kunijulisha kuwa nimetunukiwa zawadi ya kitabu chake. Yeye ni mwandishi wa riwaya ya SAA 72. Hima jumamosi nikawasili kwa bwana George...
View ArticleSERIKALI IMESIKIA KILIO CHA WENGI
NA GABRIEL MWANG’ONDAHATIMAYE serikali imesikia kilio chetu kuhusu Single Customs Territory (SCT), wakati mfumo huu ukianzishwa na kutumika hapa kwetu Tanzania, binafsi nilipinga sana japo yalikuwa ni...
View ArticleSIKU YA MASHUJAA SONGEA
Wanafunzi wa shule mbalimbali wa Manispaa ya Songea, mkoani Ruvuma, wakiliangalia kaburi la Nduna Songea Mbano, aliyezikwa kiwiliwili tu na kichwa chake kupelekwa Ujerumani, kwa kuwasumbua wajerumani...
View ArticleRIWAYA YA NYASITIKI
Nyastiki ni kitabu cha Riwaya kinacho mzungumzia binti aliyefeli mtihani wa darasa la saba na baadae anarudi darasani kusoma.Nyastiki anakutana na vikwazo vingi lakini hakati tamaa,pia kwenye kitabu...
View ArticleUSHAURI KWA RAIS: NAKUOMBA KUBALI TUENDELEE KUCHANGISHANA
NA.HONORIUS MPANGALAKWANZA kabisa nianze na kukusalimia shikamoo mheshimiwa Rais wangu, Dk. John Pombe Magufuli. Najua hii kazi ni ngumu kama usemavyo wewe mwenyewe lakini sina budi kukuombea uione...
View ArticleNGOMA ZETU
MIAKA mingi enzi za babu zetu kulikuwa na ngoma maarufu iliyoitwa GEUZA. Hakukuwa na Ligambusa kama ilivyo sasa walisafiri kutoka Lundu kwenda Mbaha au Hinga kucheza Geuza usiku nyakati za Mbalamwezi...
View ArticleKUTOKA CHINA HADI CHUO CHA TEKNOLOJIA DAR ES SALAAM (DIT)
NA KIZITO MPANGALADUNIANI kuna ubunifu wa namna mbalimbali unafanyika katika teknolojia ili kurahisisha shughuli mbalimbali katika maisha yetu ya kila siku. Ubunifu wa kiteknolojia umekuwa ni lulu...
View ArticleMO IBRAHIM,INUKA JIPUKUTE VUMBI UENDE
Na.Honorius MpangalaMABADILIKO ya bechi la ufundi katika klabu yoyote huja na matokeo chanya na hasi kulingana na mwenendo wa timu au klabu kwa ujumla.Katika hilo kuna mambo huenda yakawa tofauti kwa...
View ArticleMAMBO 10 USIYOYAJUA KUHUSU BUSTANI YA MUNGU- HIFADHI YA KITULO.
1.Hifadhi ya Taifa Kitulo ndiyo eneo pekee Tanzania lenye ndege aina ya tandawala machaka (Denhams Bustard) wenye uwezo wa kuruka kutoka bara moja hadi jingine.2.Hifadhi hiyo inayopita katika mikoa ya...
View ArticleJOSEPH BOIMANDA: MTAJI WA MILIONI HAMSINI SERIKALI HAWANA MUDA WA KUKUFUATILIA
NA.HONORIUS MPANGALAMAISHA popote unaweza kusema hivyo kwani waliofikiria katika hoja hii walikuwa na sababu za msingi zilizokuwa na maana kiuhalisia. Wakati kipato ndio sababu hasa zilizopelekea...
View Article