SASA MWATUGAWA KWA ITIKADI ZA KISIASA.
NA. HONORIUS MPANGALA WAKATI aliyekuwa Rais wa awamu ya kwanza wa taifa hili la Tanzania alikuwa kiongozi aliyewaunganisha watanganyika, sasa mambo yamekuwa tofauti kiasi. Katika hili wako ambao...
View ArticleKITABU KUHUSU CHINA
Nimemsoma Rais Wa Jamhuri ya watu wa China Mh. XI JINPING katika kitabu chake "THE GOVERNANCE OF CHINA" -Nilichojifunza nakubaliana na mtendaji mkuu wa EPZ Kanali Mstaafu Simbakalia kwamba Chinese are...
View ArticleFURAHA, EASTERLIN PARADOX NA MARIANO ROJAS
NA EZEKIEL KAMWAGA JANA, ripoti kuhusu utafiti wa kimataifa ulioonyesha kwamba nchi yetu ina hali mbaya kwenye kigezo cha furaha kwa watu wake ilizua mjadala wa aina yake. Kuna walioupinga utafiti huo...
View ArticleUMUHIMU NA CHANGAMOTO MBALIMBALI ZA NYWILA (PASSWORD)
Na KIZITO MPANGALAKila mmoja anatamani kuendeleza siri kubwa ya taarifa zake katika simu yake au tarakilishi (kompyuta) yake ili zisijulikane na wengine. Ulizni wa taarifa hizo husaidiwa na nywila...
View ArticleJE, JAMII IMECHOKA KUISHI KWA MAFUNDISHO YANAYOTOLEWA KWA MIFANO?
Na KIZITO MPANGALAMafundisho ni moja kati ya elimu ambayo haina mpinzani katika maisha yetu ya kila siku. Mafundisho hayo yapo kwa namna mbalimbali, kuna mafundisho ya jumla, kuna mfundisho ya kipekee...
View ArticleMRADI WA MITI KIJIJI CHA LUNDU
Mradi wa shamba la Miti la kijiji cha Lundu linalomilikiwa na Kanisa Katoliki Parokia ya Lundu na kufadhiliwa na Mfuko wa Misitu Tanzania.
View ArticleLAURA BASSI: PROFESA WA KWANZA MWANAMKE BARANI ULAYA.
Na Kizito MpangalaWanawake wanayo nafasi ya kufikia malengo ambayo wanakusudia, ni kwa juhudi na maarifa wataweza kufikia malengo hayo. Suala la kipaumbele kwa wanawake duniani kote limepitia hatua...
View ArticleMIAKA 188 YA KIFO YENYE CHANGAMOTO ZA MAISHA NA MATUNDA YAKE YA HISABATI
NA KIZITO MPANGALAMACHI 21 ilikuwa ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa gwiji la hisabati, Joseph Fourier, kutoa nchini Ufaransa. Imetimia miaka 250 tangu alipozaliwa mwaka 1760 kijiiini Auxere nchini...
View ArticleSIMBA, YANGA WANAIMBA KIMUNGU WANACHEZA KISHETANI.
Na. HONORIUS MPANGALA Nilikuwa nchini Jamhuri ya kidemokrasi ya Kongo April 4, 2015 siku ya pasaka. Kulikuwa na mchezo wa wa mtoano kuelekea kwenye makundi klabu bingwa Afrika kati ya Tp Mazembe...
View ArticleAFISA MTENDAJI MPYA WA KIJIJI CHA LUNDU
Mara baada ya kustaafu kazi ya utendaji wa kijiji, bwana Remigius Nyenyembe maarufu kama Remmy au Fish, Kijiji chetu cha Lundu hakikupata mtendaji kwa muda mrefu ikasababisha Afisa Maendeleo wa Kata...
View ArticleTAARIFA MUHIMU: TUMESITISHA KUWEKA TAARIFA MPYA ZA NYASA
MARKUS MPANGALASALAAM nyi wasomaji wetu wapendwa! Ni matumaini yetu nyote mna afya njema na Mwenyezi Mungu amewajalia hilo bila hiyana. Tumshukuru zaidi. Kwa muda mrefu nimekuwa nikitoa huduma ya...
View Article