JINA LA WILAYA YA NYASA LINAPOPATIKANA NDANI YA JIJINI DAR ES SALAAM
Mtaani huu unapatikana katika makutano ya Mitaa ya Lumumba na Mafia jijini Dar es salaam
View ArticleSAFARI YAO YA MAISHA
Kuna dhiki na shida. Safari yao ina milima na mabonde. Sauti zao hazisikiki kokote. Hawajui itikadi zenu bali wanatafuta shibe zao. Mazingira yao hayavutii, lakini hawachokii kuyatumia kupata matumaini...
View ArticleUGONJWA WA KIPINDU PINDU UMEINGIA WILAYA YA NYASA
NA MWANDISHI WETU, MBAMBA BAYA UGONJWA wa Kipindupindu umebisha hodi kwa mara nyingine kama ilivyokuwa mwaka jana wilayani Nyasa, ambapo watu mbalimbali walikimbizwa hospitali kutokana na kuharisha na...
View ArticleKITOWEO NA MANDHARI YA KUVUTIA YA LIULI, NYASA
Picha ya kwanza (juu) inaonyesha utulivu wa Ziwa Nyasa katika bandari ya Liuli, wilayani Nyasa. Ikumbukwe Ziwa Nyasa linasifika kwa mawimbi makali lakini pia linakuwa na utulivu kama huu pichani....
View ArticleWAZIRI MKUU ATAMBUE NYASA IMEJAA UTAJIRI
Na MARKUS MPANGALA WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa wakati akifunga mkutano wa tisa wa Bunge la 11 Novemba 17 mwaka huu alibainisha jambo muhimu linalohusu ubora wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini ambayo...
View ArticleSAIDA KAROLI NA MHARIRI WA BLOGU HII
Wakati fulani katika shughuli zangu nimekutana na watu mbalimbali maarufu katika fani tofauti. Nimekutana na watu wa fani za soka, muziki, siasa, utamaduni, kwa kuyataja machache. Wakati mwingine...
View ArticleMACHO VITABUNI
NAAM! Mara kadhaa ninapotembelea jiji la Dar es salaam wengi hutuita wageni kama “watu wa mikoani”. Lakini ninachokiona wakati mwingine ni kuzikali fursa ikiwemo ya kutembelea maduka ya vitabu.Wahenga...
View ArticleNYASA: TUNAISHI KWA MIFANO, KUSEMA NA KUTENDA
Ilikuwa siku muhimu ya kukumbuka mambo niliyopita utotoni, kabla ya kugeukia elimu za darasani. Lakini pia hata nilipokuwa na elimu ya darasani bado nina mapenzi makubwa na mazingira haya...
View ArticleSOMO LA LEO: UKIMWI
"Wanaume na nyinyi muwe na maadili, wanaume wakubwa mnahisi labda wakubwa wenzenu wamechuja hawana ladha ile ambayo mngependa kuipata, kwa hiyo mnahamia kwa wototo wadogo, huu si mwendo mzuri, hawa ni...
View ArticleFURAHA YA MAZEMBE ILIYOPORWA UWANJA WA NDEGE NA KABILA
NA. HONORIUS MPANGALA Rais Joseph Kabila ni mmoja ya marais wa Afrika ambao ni wamashabiki wakubwa wa mchezo Wa soka. Amekuwa akisapoti sana mchezo Wa soka Kwa timu yao ya taifa inayoitwa chui. Wadau...
View ArticleMFADHILI WA DHIKI
Nikiwa katika ufukwe wa forodha ya Lundu, Nyasa.Nilitamani nguo kupiga pasi,Hakika hilo tena siwezi,Kwetu umeme wa manati,TANESCO hisani nifanyieni,Umeme wahakika nipatieni.Mimi ni muuza JuisiKama yule...
View ArticleBANDARI YA MBAMBABAY ITAKUZA UCHUMI
NA MWANDISHI WETU, SONGEANAIBU Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhandisi Stella Mànyanya ameshauri kupanuliwa kwa bandari ya Mbamba Bay iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Mkoa wa...
View ArticleUJENZI BARABARA YA MBINGA-MBAMBA BAY WAKARIBIA
NA MWANDISHI WETU, SONGEAMKUU wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amesema ujenzi wa barabara ya lami nzito toka Mbinga wilayani Mbinga hadi mjini Mbambabay Wilayani Nyasa unatarajia kuanza hivi...
View ArticleMELI YA ABIRIA YAENDELEA KUUNDWA
MWANDISHI WETU, KYELAKAZI ya kuunda meli mpya ya abiria itakwayokuwa na uwezo wa kubeba abiria 200 pamoja na tani 200 za mzigo imefikia asilimia 60 tangu ilipoanza kutengenezwa mapema mwaka huu katika...
View ArticleMAZOEZI YA KIJESHI KUFANYIKA NCHINI
Tanzania imechaguliwa kuwa mwenyeji wa mazoezi ya siku 14 ya pamoja ya makamanda wa kijeshi wa nchi wanachama wa jumuiya ya Afrika Mashariki yanakayojikita katika kupambana na matukio ya ugaidi....
View Article“KURUDI NYUMBANI”, IMERUDI STARINI TENA"
MWAKA 2012 nilianzisha kipengere cha “KURUDI NYUMBANI” katika blogu hii. Mtu wa kwanza kuhojiwa alikuwa Ambroce Nkwera. Unaweza kusoma mahojiano hayo kwa KUBONYEZA HAPA. Labda swali hapa ni kwanini...
View Article“NYASA INAWEZA KUJENGA KIWANDA CHA MATUNDA. HOTELI NAZO ZINATUDAI MAHITAJI...
NA MARKUS MPANGALAMAELFU ya vijana waliotokea Wilaya ya Nyasa mkoa wa Ruvuma wamesoma elimu ya Sekondari katika shule ya Lundo iliyopo Kata ya Lipingo wilayani humo. Hata hivyo sio vijana wote...
View ArticleKILICHOTOKEA KATIKA UCHAGUZI WA KATA 43 HAKINA TASWIRA NZURI 2020
NA HONORIUS MPANGALA TANZANIA ni nchi ambayo wananchi wake wamejengwa kwenye ushrikiano na mshikamano mkubwa sana katika aisha yao ya kila siku. Yawezekana misingi iliyowekwa na waasisi wa taifa hili...
View Article