KAMERA YETU NORWAY
Furahisha macho kwa vipawa walivyo navyo wenzetu. Hapo ni Norway kwenye bahari ya Atlantic ambapo walijenga barabara kukatiza bahari kuunganisha miji iliyoko visiwani kwenye eneo la bahari. Kwa kuisoma...
View ArticleKITAI NI ENEO ZURI KWA UWEKEZAJI
Pichani ni sehemu ya mji wa KITAI. Mahali hapo ni makutano ya barabara za Songea-Mbinga, Mbinga-Lituhi, Songea-Lituhi, mkoani Ruvuma ambapo kunajengwa Kituo cha usambazaji wa umeme vijijini (REA). Hilo...
View ArticleMAISHA
Maisha ni furaha na huzuni,Yakupasa kuyafikiri akilini,Ongeza na maarifa ubongoni,Usisahau na akiba kibindoni.Ni huzuni na furaha maishani,Ni furaha zaidi kupata amani,Ya maisha kuitunza duniani,Aliye...
View ArticleNINAONDOKA
Ndugu zangu sikieni, mimi hapa naondoka,Ninahitaji amani, mirindimo nimechoka,Ninakwenda kwa jirani, hata kama akifoka,Ninaondoka jamani, amani naitafuta.Mitaani kuna mambo, twakimbizana daima,Yapo...
View ArticlePAMBO LA NDOA
Ndoa ni kitu johari, thamani yake nyumbani,Ndoa usiikahiri, utakuwa matatani,Ndoa yahitaji siri, zihifadhiwe chumbani,Pambo la ndoa mapenzi, yenye afya na nidhamu.Kuvumiliana nako, ni muhimu kwenye...
View ArticleTUZO YA NOBEL: NGUGI WA THIONG’O HOI TENA!!!!
Kazuo Ishiguro (pichani) raia wa Uingereza ameshinda tuzo ya Nobel katika fasihi kwa mwaka 2017. Amepata ushindi huo baada ya kuwabwaga washindani wake Margaret Atwood, Ngugi Wa Thiong’o na Haruki...
View ArticleSOMO LA LEO; SHERIA
Kifungu cha 6(1)(h) cha Sheria ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Nam 7/2001 kinaipa mamlaka na uwezo Tume kukagua Magereza (pamoja na Vyuo vya Mafunzo) na sehemu ambazo watu wanazuiliwa kwa...
View ArticleWAKOLONI WALITUPOTOSHA KWA ELIMU YAO
NA HONORIUS MPANGALA, 0628 994409MIONGONI mwa mambo ambayo waafrika hatutakiwi kujiuliza kuhusu wakoloni na wawekezaji kwanini wanapenda kukimbilia kuwekeza au kama walivyokuja kutawala afrika,jibu ni...
View ArticleALFRED NOBEL: MHANDISI MWANZILISHI WA TUZO YA NISHANI YA AMANI YA NOBEL.
NA KIZITO MPANGALA, 0682 555 874ALFRED NOBEL ni mtu aliye wazi masikioni mwa wengi lakini akifahamika zaidi kwa jina lake la mwisho yaani Nobel kutokana na tuzo aliyoianzisha katika amani, lakini kwa...
View ArticleSOMO LA LEO
"Sitaki kulieleza zaidi jambo hili. Lakini hivyo ndivyo ilivyokuwa. Vitu vingi sana vimepanda bei; na kila mtu kaumia; wenye kipato kidogo waliumia zaidi kuliko wenye kipato kikubwa. Tumetangaza bei...
View ArticleMABADILIKO BARAZA LA MAWAZIRI.
NA MWANDISHI WETUWIZARA zimeongezeka kutoka 19 hadi 21, Mawaziri kutoka 19 hadi 21, Manaibu Waziri kutoka 16 hadi 21. Wataapishwa ni Jumatatu tarehe 9/10/2017 asubuhi kwenye saa tatu au saa tatu na...
View ArticleLUTENI JENERALI MIKHAIL KALASHINKOV: MWASISI WA BUNDUKI YA AK – 47
Na Kizito MpangalaAlizaliwa tarehe 10 Novemba mwaka 1919 nchini Urusi. Alikuwa ni mtoto wa wazazi Timofey Aleksandrovich Kalashinkov (baba) na Aleksandra Frolovna Kalashinkova (mama) akiwa ni mtoto wa...
View ArticleNIMEWASILI
Salama nimewasili, jirani kanipokea,Mekaa kwenye kivuli, upepo unapepea,Nimekuwa mdhalili, mengi yamenipotea,Nimewasili salama, jirani kanipokea.Nilikotoka najuta, watu wengi wamekufa,Mazingira ya...
View ArticlePENZI LA TAIFA; MKASA WA CATALONIA (BARCELONA) KUJITOA HISPANIA
Mfalme Ramon Berenguer wa IV wa Barcelona alimuoa Malkia Petronilla kutoka ufalme wa Aragon. Ndoa hiyo ilichochea muungano kati ya ufalme wa Aragon na Catalonia(Barcelona). Mwaka 1469 ulishuhudia ndoa...
View ArticleKUMBUKUMBU YA ERNESTO CHE GUEVARA
LEO imetimu miaka 50 tangu mwanamapinduzi wa Argentina Enersto Che Guevara alipouliwa huko Bolivia. Che anafahamika kwa harakati zake za kupigania uhuru wa nchi kama DRC/Cuba na nyingine nyingi....
View ArticleZENZILE MIRIAM MAKEBA: MWANAMUZIKI ANAYEKUMBUKWA NA WENGI BARANI AFRIKA.
Na Kizito MpangalaZenzile Miriam Makeba alizaliwa mwaka 1932 jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini. Alizaliwa kwa wazazi wenye asili tofauti kikabila, baba yake ni Mxhosa, na mama yake ni Mswazi....
View ArticleRUVUMA: WANANCHI WAKERWA KUUZIWA KONDOMU
Wanawake wa kijiji cha Lumecha wilayani Nyasa Mkoani Ruvuma wameiomba Serikali kuweka ratiba ya kudumu ya utoaji huduma za uzazi wa mpango bure kwenye vijiji vya pembezoni ili kuwasaidia kupunguza vifo...
View ArticleMIAKA 50 TANGU CHE GUEVARA AUAWE, BADO ANAISHI
NA ZITTO KABWE MIAKA 50 imetimia tangu Komredi Che Guevara auwawe huko Bolivia mnamo tarehe 9/10/1967. Che, mwanamapinduzi mzaliwa wa Argentina na mkombozi wa Cuba ni mmoja wa wanadamu waliojitoa...
View Article