NYASA NI MAARUFU KWA KILIMO CHA MATUNDA
Hapa ni kijiji cha Ndengele katika wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma tulimkuta kijana anauza ndizi mkungu mzima shilingi 2000 tu.Katika eneo la Liuli tulikuta mananasi matatu yanauzwa shilingi 1000.NB;...
View ArticleUJUMBE WA CHINA NDANI YA NYASA
Ni Mwenyekiti wa chama cha Wawekezaji kutoka China hapa nchini, Bwana Ding (Mwenye shati nyeupe), mbele ya Naibu Waziri Viwanda,Biashara na Uwekezaji, Injinia Stella Manyanya, ambaye pia ni Mbunge wa...
View ArticleKUFUNGWA KWA BENKI TANZANIA.
NA LAMECK KUMBUKA, USWISIBENKI zinafungwa sio ishara njema kwa ucuhumi, lakini tufikirie pia sababu nyingine mbali na lile tunaloshabikia sana la “kuporomoka kwa uchumi”. Unajua kuwa idadi ya watu...
View ArticleAFYA, IMANI NA HUDUMA LUNDU
Hapa ndipo tunapopata busara za kiroho tuwapo kijijini kwetu Lundu (Nyasa). Lilijengwa mwaka 1946. Awali wamisionari walifanya makao yao katika mlima Chipyaghela (haupo pichani). Eneo walilofanya makao...
View ArticleBENKI YA DUNIA YATOA MSAADA WA KUBORESHA KITUO CHA AFYA MKILI
NA MWANDISHI WETUSERIKALI kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa kushirikiana na Benki ya Dunia wametoa msaada wa shilingi milioni 400 kwa Kituo cha Afya cha Mkili...
View ArticleSERIKALI YA BOTSWANA YAMKOROMEA RAIS TRUMP
NA MWANDISHI WETUSERIKALI ya Botswana kupitia Wizara ya Mambo ya Nje imetoa taarifa ya kulaani matamshi ya rais Donald Trump dhidi ya wahamiaji kutoka bara la Afrika. Kwa mujibu wa taarifa ya wizara...
View ArticleJIMBO LA NYASA: KWANINI WANANCHI WA TARAFA YA RUHUHU WAMEACHWA UKIWA?
NA MARKUS MPANGALAUbovu wa Barabara katika kijiji cha Ndumbi.RUHUHU ni miongoni mwa Tarafa zinazounda Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa. Wilaya hii ni miongoni mwa zingine kama Songea Vijijini, Songea...
View ArticleKARIBUNI RUVUMA. KARIBUNI KUTALII TUNDURU
Hili ni Jiwe kubwa sana ambalo linavutia watalii. Hili ni mojawapo tu, maana yapo zaidi ya haya. Mawe haya yanapatikana kilometa chache tu kutoka Tunduru Mjini mkoani Ruvuma.
View ArticleTANZIA: YONA FARES MARO, NITAKULIPA NINI RAFIKI!
NA MARKUS MPANGALALEO nimekuta ujumbe huu,.. “NIMEKUWA KWENYE MATATIZO YA NDOA KWA MIAKA 4, KILA WIKI NIKIPAMBANA NA MKE MLEVI NA MZINZI. TUKIO LA JANA USIKU NA LEO ASUBUHI LIMENISONONESHA NA KUNITIA...
View ArticleELIMU BURE INAVYOTESA WATOTO WA WANANCHI WA HALI YA CHINI
NA HONORIUS MPANGALAKITAALUMA na hisia zangu zimenifanya niwe mtu tofauti kabisa kuhusiana na matumizi ya baadhi ya maneno hapa nchini. Mengi hutumiwa na viongozi wa ngazi za juu kuwaona wale waliopo...
View ArticleHONGI NYASA: KISIWA KILICHOWEKWA RADA YA RAIS WA MALAWI
NA ALBANO MIDELO, LIULIMBUNGE wa Jimbo la Nyasa Mhandisi Stella Manyanya hivi karibuni kwenye tamasha la utalii wa Nyasa alitamka wazi kwamba wilaya ya Nyasa ni Benki ya vivutio lukuki vya utalii hali...
View ArticleHALMASHAURI YA WILAYA YA NYASA INAO WAJIBU WA KUHUDUMIA BARABARA ZAKE
NYASA inahitaji matibabu kamili (kama dawa ya Mseto) sio kutuliza maumivu (Panadol). Matengenezo haya nimeyakuta mwezi Disemba 2017. Niliwaacha watengenezaji wakiwa kijiji cha Ndumbi, lakini...
View ArticleKUPIGA MARUFUKU MAVAZI YA NUSU UCHI
NA PROFESA ANNA TIBAIJUKA (MB)Profesa Tibaijuka. UKIONA watu wanahangaika na suala la mavazi hasa kukazania yale yanayoficha mwili wa mwanamke ujue wana matatizo yao wamelishwa kasumba ya wageni. Dhana...
View ArticleKABWILI ASINGEKUBALI KUFUNGWA PENATI TANO ZA URA.
Na. HONORIUS MPANGALAMIONGONI mwa utofauti ambao binadamu tunao ni jinsi ya kuzitumia akili zetu. Utofauti huo huweza kumtofautisha yule mwenye uwezo mkubwa katika kubaini jambo na kutafuta ufumbuzi na...
View ArticleHAKUNA CHAMA KINACHOENDESHA MAISHA YA MPIGA KURA.
NA HONORIUS MPANGALA, BAHINILIPOKUWA mdogo niliamini maisha ni jambo ambalo liko tofauti na la kuogofya sana katika jamii. Sababu kubwa ni pale nilipokuwa nayasikia maneno kama “Usicheze na maisha”....
View ArticleHAPA NI UFUKWE WA CHIWINDI MPAKANI MWA TANZANIA NA MOZAMBIQUE.
Picha kwa hisani ya Egbert Jemeny
View ArticleTAITU BETUL: MALKIA JASIRI ALIYEASISI MJI MKUU WA ETHIOPIA, ADDIS ABABA.
Na Kizito MpangalaTaitu Betul alizaliwa mwaka 1851 nchini Ethiopia ambayo wakati huo ilikuwa ni Milki ya Ethiopia kabla ya kuwa Jamhuri. Neno Taitu kwao lilimaanisha “mng’ao wa jua au jua”, hilo ndilo...
View ArticleHAPO NI ENEO LA LWIKA KATIKA KIJIJI CHA LUNDO
Leo hii hakuna Mawasiliano ya Barabara toka Mbamba Bay to Kilosa....Bus zilizotoka Mbinga na Songea Zimeishia shell pale Tambachi Kuna Calvart Limekwenda na maji watu wanahangaika hawajui cha kufanya.
View Article