$ 0 0 Hapa ni kijiji cha Ndengele katika wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma tulimkuta kijana anauza ndizi mkungu mzima shilingi 2000 tu.Katika eneo la Liuli tulikuta mananasi matatu yanauzwa shilingi 1000.NB; Albano Midelo