KWANINI MAJAJI WANAVAA MAWIGI?
Kwa wenye taaluma mjadala huu unafaa. Kuna mengine pia yamesema, mfano majina ya Victoria Falls, Ziwa Victoria na kadhalika. Makala hayo yalichapwa kwenye gazeti la THE CITIZEN toleo la Jumatano,...
View ArticleSIDHANI KAMA UTU UMEZINGATIWA HAPA.
NA DK. RICHARD MBUNDAMOJA ya misingi mikuu ya tanu na ccm ni kujali utu wa binadamu. Kamati ya Haki, na Maadili ya Bunge imeshindwa kumhoji Mh. Saed Kubenea baada ya kujiridhisha kwamba hali yake ya...
View ArticleUJENZI WA UKUTA MKOANI MANYARA
PICHANI: Meja Jenerali Michael Isamuyo atua Mererani, Mkoani Manyara kukagua maeneo ambayo ukuta utajengwa kwa ajili ya ulinzi wa madini.Wananchi wakiangalia Helikopta ya JWTZ iliyomleta meja jenerali...
View ArticleMAELEZO YA NDUGU KABWE Z. RUYAGWA ZITTO (MB), MBELE YA KAMATI YA BUNGE YA...
Mheshimiwa Mwenyekiti wa Kamati, Mnano tarehe 13 Septemba, 2017 nilipata wito wa kufika mbele ya Kamati yako kutoa ushahidi wa masuala mbalimbali. Nilipata wito husika saa nane na dakika 40 mchana,...
View ArticleBASI LA KISUMAPAI LAPATA AJALI NANGOMBO
Basi la kampuni ya Kisumapai lenye namba za usajili T 606 CTY linalofanya safari zake kutoka Songea kwenda Mbamba Bay, Liuli hadi Mango wilayani Nyasa limepata ajali mapema leo katika kijiji cha...
View ArticleKITONGOJI FEKI CHAGUNDULIKA NDANI YA HIFADHI NYASA
NA ALBANO MIDELO, NYASANYUMBA 25 zilizokuwa na kaya 65 ambazo zilijengwa katika hifadhi ya msitu milima ya Ruhekei katika Halmashauri ya Nyasa mkoani Ruvuma zimebolewa na kuondolewa ndani ya hifadhi...
View ArticleJE WAJUA?
Kulala kwa muda mrefu kunasababisha upweke. Utafiti unaonyesha kuwa watu wapweke wanatumia muda mwingi wakiwa kitandani licha ya kujua hatari zinazotokana hali hiyo. Upweke husababisha kudhani...
View ArticleMV. NJOMBE YATIA NANGA MBAMBA BAY LEO
NA VITUS MATEMBO, MBAMBA BAYMELI mpya ya mizigo iitwayo Mv. Njombe imetia nanga kwa mara ya kwanza katika bandari ya Mbamba Bay tangu kukamilika kwa ujenzi wake uliofanyika katika bandari ya Kiwira...
View ArticleNIMEWATEMBELEA WAKONGO NA BURUNDI LEO
Fredy Msumba anasema , "Leo niliona niwatembelee ndugu zetu wa Kongo na Waburundi, maisha ndo hayo, big up Tanzania, I love Tanzania. Karibu Kigoma bado nipo. Nakuambia kaka, ukija huku hutatamani...
View ArticleUSHAURI WA BURE KWA TFF
NA SAMWEL CHITANYAMOJA kati ya nchi za Afrika ambazo raia wake wanapenda sana mchezo wa kandanda duniani ni Tanzania. Watanzania wanaupenda sana mchezo Wa kabumbu. Ni mchezo unaopendwa na watu wengi...
View ArticleHONGERA DKT ASHA-ROSE MTENGETI MIGIRO.
UN-High Level Advisory Board on Mediation ni nini? Siku ya tarehe 13/09/2017 Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ndugu Antonio Guterrez alitangaza kuanzisha bodi mpya ambayo inaitwa Bodi ya Ushauri ya...
View ArticleTANZANIA IS RAPIDLY CLOSING ITS ECONOMIC GAP WITH KENYA
BY GABRIEL MWANG’ONDA Kenya’s status as East Africa’s economic powerhouse is at stake as Tanzania races closely behind, with a higher growth rate that is increasingly narrowing the gap between the two...
View ArticleUCHAMBUZI WA KITABU; BUSARA ZA MZEE
KITABU: BUSARA ZA MZEEMWANDISHI: TITUS AMIGUMCHAMBUZI: KIZITO MPANGALABUSARA ZA MZEE ni kitabu chenye mkusanyiko wa aya mbalimbali ambazo zimekusanywa katika nyakati tofauti na kuwekwa kitabuni. Ni...
View ArticleMAPIGANO YAENDELEA KATI YA WANAMGAMBO WA MAIMAI NA JESHI LA TAIFA
MAPAMBANO MAKALI yanaripotiwa kati ya jeshi ya Congo FARDC na waasi wa maima wa YAKUTUMBA katika maeneo ya wilaya ya Tanganika tarafani fizi, Katika mkoa wa Kivu ya kusini mashariki mwa Jamhuri ya...
View ArticleADHABU KWA MWENDESHA BAISKELI
Jana mchana mwendesha Baiskeli alipita kwa kasi katika makutano ya barabara ya Bibi Mohammed na Morogoro bila kuruhusiwa na taa za kuongoza magari. Wakati anapiga taa zilionyesha magari yapite, na...
View ArticleUCHAMBUZI WA KITABU CHA THOMAS FRIEDMAN
KITABU: HOT, FLAT AND CROWDEDMWANDISHI: THOMAS L. FRIEDMANMCHAMBUZI: MARKUS MPANGALA SUALA la mabadiliko ya tabia nchi ni nyeti duniani. Kutoka na unyeti huo Thomas L Friedman aliandika kitabu hiki cha...
View ArticleHOJA 10 ZA WABUNGE WA CHAMA CHA NRM
KAMPALA, UGANDA1. Acha "Mamlaka ya Raia" iamue. Kuweka ukomo wa umri ni kuwanyang'anya ni kuwanyima mamlaka yao ya Kikatiba.2. Uhuru wa Raia kuchagua wampendae uheshimiwe. Kama hawampendi kura...
View ArticleSALUM MWALIMU ASHINDA KESI
BARIADI: Kesi Na. 158/2016 iliyokuwa inamkabili Naibu Katibu Mkuu (CHADEMA) Zanzibar ndugu Salum Mwalimu na wenzake katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Bariadi imetupiliwa mbali, hivyo basi washtakiwa wote...
View ArticleKAMATI KUU CCM KIKAONI LEO IKULU
Mwenyekiti wa CCM, John Magufuli ameongoza kikao cha Kamati Kuu leo Ikulu jijini Dar es slaa.
View ArticleMASHUJAA SONGEA
Mwanazuoni Edgar Mwandemani akiwa katika mnara wa askari ulipo katika uwanja wa Mashujaa mjini Songea.
View Article