$ 0 0 BARIADI: Kesi Na. 158/2016 iliyokuwa inamkabili Naibu Katibu Mkuu (CHADEMA) Zanzibar ndugu Salum Mwalimu na wenzake katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Bariadi imetupiliwa mbali, hivyo basi washtakiwa wote wako huru kwanzia leo 27 Septemba 2017.