KAMPUNI YA MKUKI NA NYOTA WAINGIA SOKO LA VITABU CHINA
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAMKAMPUNI ya Mkuki na Nyota ambayo hujishughulisha na uchapaji wa vitabu imetanua wigo wa soko lake la uchapishaji na utangazaji wa vitabu baada ya kusaini makubaliano na...
View ArticleMAKINIKIA YANG’OA VIGOGO WA ACACIA
NA MWANDISHI WETUVUMBI lililosababishwa na sakata la mchanga wa madini maarufu kama MAKINIKIA limeitikisa tena kampuni ACACIA ambayo inamiliki kampuni zinazochimba madini hapa nchini katika maeneo...
View ArticleWATU WASIOFAHAMIA WAMPIGA MAWE MTU HADI KUFA
NA MWANDISHI WETUMTU mmoja aliyetambulika kwa jina la Gaudansi Kapinga(31) aliyekuwa Mkazi wa Kijiji cha Mbuyule Tarafa ya Ruhekei wilayani Nyasa mkoani Ruvuma,ameuawa kwa kupigwa na mawe hadi kufa na...
View ArticleKAULI YA MKUU WA MKOA WA RUVUMA
"Mimi ni Mnyamwezi original nipo tayari kutwishwa mizigo yote,mnitwishe wanaruvuma mizigo yote kwa lengo la kuleta maendeleo ndani ya mkoa',” Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma ni Christina Mndeme
View ArticleUCHAMBUZI WA KITABU: IT CAN'T BE TRUE
KITABU: IT CAN’T BE TRUEMWANDISHI: JOHN MWAKYUSAMCHAMBUZI: MARKUS MPANGALAHII ni mara yangu ya kwanza kusoma riwaya ya mwandishi John R.P. Mwakyusa, mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam. Riwaya...
View ArticleTANZANIA YATAJWA KUONGOZA KWA MARADHI YA KIPINDUPINDU
NA MWANDISHI WETUSHIRIKA la Afya Duniani imeitaja Tanzania kuwa miongoni mwa nchi kumi kinara kwa watu wake kuugua ugonjwa wa kipindupindu. Mataifa mengine yaliyotajwa ni pamoja na India ambayo ndio...
View ArticleVITA YA KUGOMBANIA MAJI DUNIANI INAKUJA
NA MWANDISHI WETUSHIRIKA la Afya Duniani(WHO) linabainisha kuwa kuna watu bilioni 1.3 ambao ni moja ya tano ya watu wote duniani wanakosa maji safi na salama ya kunywa. Mwenyekiti wa Baraza la Maji...
View ArticleUTALII: UFUKWE WA KIJIJI CHA LUNDU
Wilaya ya Nyasa imebarikiwa kuwa na fukwa zuri zinazotokana na ziwa Nyasa. Huu mojawapo ya ufukwe wenye historia kubwa sana, kupokea wageni kutoka Ujerumani, Uingereza, Italia na nchi mbalimbali ambao...
View ArticleKITABU CHENYE UTATA KUHUSU RAIS ZUMA CHAPIGWA MARUFUKU
PRETORIA, AFRIKA KUSINIMAJASUSI wa Afrikia Kusini wanataka kufutiliwa mbali kwa kitabu kipya chenye utata kuhusu madaia yua rais Zuma kujilimbikizia fedha kimakosa ,wakisema kuwa kitabu hicho kimajaa...
View ArticleUCHAMBUZI WA TAMTHILIYA YA BLACK MAMBA
KITABU: BLACK MAMBAMWANDISHI: JOHN RUGANDAMCHAMBUZI: KIZITO MPANGALA.Black Mamba ni tamthiliya iliyoandikwa na John Ruganda kutoka nchini Uganda. Namba za usajili ni 978-9966-46-378-X na kuchapiswa na...
View ArticleSASA NAMWELEWA HILARY CLINTON
NA MARKUS MPANGALA WAKATI wa kampeni za Uchaguzi nchini Marekani mwaka 2016, aliyekuwa mgombea wa urais kwa tiketi ya chama cha Democrat, Hilary Clinton alisema: “Kama mgombea (wanasiasa)...
View ArticleWAAMUZI WETU NA MITIHANI YA SIMBA NA YANGA
NA HONORIUS MPANGALATANZANIA ni miongoni mwa nchi zinazotajwa kuwa na amani na hii ni kutokana na muingiliano wa mambo manne. Yako makundi yaliyojikita katika masuala ya dini, siasa, ushabiki wa soka...
View ArticleMABALOZI WETU WASIWE WAZITO KUJENGA UCHUMI
NA GABRIEL MWANG’ONDA RAIS John Magufuli ametimiza miaka miwili madarakani tangu alipoapishwa Novemba 5 mwaka 2015. Miaka hiyo serikali imefanya mambo mengi ambayo si lazima kueleza hapa leo. Lakini...
View ArticleUTEUZI UMETENGULIWA
Rais John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru Bw. Abdallah Hussein Mussa kwa kushindwa kumudu majukumu yake.
View ArticleMAMBO 50 YA KISAIKOLOJIA YATAKAYOKUACHA KINYWA WAZI
NA VITUS MATEMBO, MBAMBA BAY Mwonekano wa ufukwe wa Mkwakwa katika Ziwa Nyasa.Hii ni kweli hata kama ulikua hujui kubali tu, maana ndio ukweli uliopo. 1. Mtu hufanya ishara nyingi za mikono akiwa...
View ArticleWILAYA YA NYASA INAO UTAJIRI WA VIVUTIO VYA UTALII
Mwonekano wa fukwe za Ziwa Nyasa.Mvuvi akiwa katika shughuli zake ziwa NyasaGati la Bandari ya Mbamba Bay mjini Mbamba Bay wilayani NyasaPicha Zote kwa hisani ya Vitus Matembo, Mbamba Bay.
View Article